Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Da es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua taarifa ya Utafiti wa viashiria na matokeo ya Ukimwi Tanzania (THIS) wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ambayo Kitaifa yamefanyika jijini Dar es Salaam.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Joakim Mhagama ramani inayoonyesha maeneo yalioathirika na ugonjwa wa ukimwi ambayo yameainishwa kwenye taarifa ya Utafiti wa viashiria na matokeo ya Ukimwi Tanzania (THIS) wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ambayo Kitaifa yamefanyika jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile ramani inayoonyesha maeneo yalioathirika na ugonjwa wa ukimwi ambayo yameainishwa kwenye taarifa ya Utafiti wa viashiria na matokeo ya Ukimwi Tanzania (THIS) wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ambayo Kitaifa yamefanyika jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS Dkt. Leo Zekeng mara baada ya uzinduzi wa taarifa ya Utafiti wa viashiria na matokeo ya Ukimwi Tanzania (THIS) wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ambayo Kitaifa yamefanyika jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: