Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimia baadhi wa wana CCM waliofurika katika ukumbi wa Tawi la CCM Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambao walifika kumlaki katika mapokezi yaliyoandaliwa na Jumuiya hiyo mkoa wa Dar es Salaam, jana.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania-Zanzibar Abdallah Haj Haidar akimpokea Dk Mndolwa kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Sylivia Magdalena Kamba alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo.
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa, akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Saad Kusilawe, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo.
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa, akisalimiana na Katibu wa Jumuiya hiyo mkoa wa Dar es Salaam Lugano Mwafongo, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo.
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa, akisilindikizwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Sylivia Magdalena Kamba kwenda kusaini vitabu wa wageni na kuzungumza na uongozi, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo.
Dk. Mndolwa akisaini kitabu wa wageni katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam alipowasili. Kulia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa huo, Frank Kalokola Kamngisha.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania-Zanzibar Abdallah Haj Haidar akisaini kitabu cha wageni, huku Dk. Mndolwa akiendelea kufanya hivyo pia.
Abdallah Haj Haidar akisalimia.
Mama Patricia Rukia Mndolwa akisalimia.
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania-Bara Burhan Rutta akisalimia.
Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Kusilawe akisalimia.
Kalokola akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, amkaribishe Dk. Mndolwa kuzungumza na Uongozi.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Sylivia Magdalena Kamba alizungumza kabla ya kumkaribisha Dk Mndolwa kuzungumza.
Kate Kamba akimkaribisha Dk Mndolwa kuzungumza na uongozi.
Dk. Mndolwa akizungumza na Uongozi.
Mwafongo na Katibu wa CCM Kata ya Ilala Habib Nasser ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, wakitoka nje kumsubiri Dk Mndolwa kutoka nje tayari kwa safari ya kwenye kwenye eneo kuu la mapokezi ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala.
Dk Mndolwa akiongozana na baadhi ya viongozi kwenda eneo la tukio
Dk Mndolwa akisalimia baadhi ya wana CCM wakati akienda ukumbini.
Dk Mndolwa akisalimia baadhi ya viongozi wakati akienda ukumbini.
Dk. Mndolwa na Makamu wake- zanzibar wakiwa tayari meza kuu.
Viongozi wa meza kuu wakiungana na Dk Mndolwa kushangilia baada ya kuwasili eneo hilo.
Mmoja wa viongozi katika Baraza la Wazee wa jumuiya ya Wazazi Mzee Mkali akisalimia.
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Mwafongo akifanya utambulisho wa viongozi ndazi ya mkoa.
Viongozi ndazi ya mkoa wakisalimia baada ya kutambulishwa.
Baadhi ya viongozi waliohudhuria mapokezi hayo wakiwa ukumbini.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi Tanzania Ndugu Rutta akitambulisha viongozi ngazi ya taifa.
Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi tanzania Seif Shaban Mohammed akifafanua maana na umuhimu wa neno 'Mapinduzi' baada ya kutambulishwa.
Ndugu Mwafongo akiendeleza ratiba.
Mwenyekiti wa CCM Temeke ndugu Almish akizungumza baada ya kutambulishwa.
Ndugu Kalokola akizungumza kumtambulisha Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania-Zanzibar Ndugu Haj
Kakamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania-Zanzibar Ndugu Hajj akizungumza.
Shabiki wa CCM akimuombea maisha marefu na uongozi bora Dk. Mndolwa tukio ambalo lilikuwa la ghafla.
Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Mwafongo akiwakaribisha Dk. Mndolwa na Mkewe walipowasili hoteli ya Serena kwa ajili ya chakula cha jioni.
Dk Mndolwa akimsalimia Ndugu Kizigha.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania- Zanzibar Ndugu Hajj akimsalimia Mama Mndolwa.
Dk Mndolwa akizungumza jambo wakati wakisubiri muda wa chakula.
Ndugu Mwafongo akiwa amesimama kuwakaribisha rasmi waalikwa wote.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Kalokola akizungumza maneno ya ukaribisho kwenye chakula hicho cha jioni.
Dk Mndolwa akiongozana na Ndugu Hajj kuchukua chakula.
Angela Kizigha akimsaidia Dk. Mndolwa kubeba chakula.

Waalikwa wakila chakula.
Dk Mndolwa na mkewe wakipata chakula na waalikwa wengine.
Dk Mndolwa akitoa nasaha zake baada ya chakula
Kisha Dk. Mndolwa akapozi kwa picha ya kumbukumbu na viongozi mbalimbali aliopata nao chakula hicho cha jioni. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: