Kuna tendency ya wadada siku hizi wakiwa wanapiga picha wanajigeuza nyuma ili waoneshe uumbaji wa Mungu au mdada anavaa nguo huku maungo yake ya mwili ambayo ni sensitive yanaonekana, then anakuja kupost kwenye mitandao ya kijamii.

For me personally (i dont know about others)... ila sipendenzwi na hii tabia.
Kama wewe ni msichana na unajiheshumu please usiwe unapost such pictures kwenye mitandao ya kijamii...

Kiukweli inakushusha hadhi kama mwanamke... unakuwa unaonekana you are after something which is not good.

I don't believe kuwa, msichana ukipost picha kama hizo ndiyo utapata mume... i believe ukipost such pictures ni rahisi zaidi kuwavuta wanaume ambao wanakuja specifically kwa ajili ya kuleta uharibifu kwenye maisha yako...

You are beautiful kama ni mme utampata tu. Siyo lazima utumie nguvu nyingi sanaa tena ambazo siyo halali kuweza kumvuta mwanamme.

Imeandikwa na
Alice Ntepa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: