Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James akinyanyua mkuku na ngao mara baada ya kusimikwa.(PICHA NA FAHADI SIRAJI)
Makamu mwenyekiti wa UVCCM akizungumza.
Kaimu katibu mkuu wa Umoja wa vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza na viongozi pamoja na Wanachama wa CCM na Jumuiya zake mkoa wa Mwanza wakati akimkaribisha Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James kuzungumza.
Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James akizungumza na Viongozi pamoja na wanachama wa CCM na jumuiya zake mkoa wa mwanza.
wanachama wakifurahia hotuba ya Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James.
Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James akiteta jambo na Mwenyekiti wa Ccm mkoa wa mwanza Dr. Anthony dialo.
Kaimu katibu mkuu wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Wanachama wa CCM Mkoa mwanza katika Ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza.
Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James akizungumza na wanachama wa chama cha mapinduzi mkoa wa mwanza akielekea Uwasha wa CCM KIRUMBA.
Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Ilemela na Naibu waziri wizara ya Ardhi Dkt Angelina Mabula alipowasili katika mapokezi Uwanja wa CCM Kirumba.
Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James akisalimia na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ilemela.
Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James akiwasalimia na wanachama wa chama cha mapinduzi na jumuiya zake Uwanja wa Ccm kirumba. (PICHA NA FAHADI SIRAJI).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: