Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, John Pombe Magufuli hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu akiwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda akiwepo Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi (katikati) akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda (kushoto)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi (katikati) akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda (kushoto)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli hivi karibuni (Picha na Ikulu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: