Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi ikiwa ni ishara ya kukabidhiwa rasmi ukuta uliojengwa kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite eneo la Mirerani mkoani Manyara wakati wa sherehe za kuuzindua ukuta huo wenye uerefu wa kilomita 24.5 leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akionedha hati aliyopokea kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi ikiwa ni ishara ya kukabidhiwa rasmi ukuta uliojengwa kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite eneo la Mirerani mkoani Manyara wakati wa sherehe za kuuzindua ukuta huo wenye uerefu wa kilomita 24.5 leo Aprili 6, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidia kumweka kitini Mzee Jumanne Ngoma, mvumbuzi wa madini ya Tanzanite, wakati wa uzinduzi rasmi wa ukuta uliojengwa kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite eneo la Mirerani mkoani Manyara wakati wa sherehe za kuuzindua ukuta huo wenye uerefu wa kilomita 24.5 leo Aprili 6, 2018. Pamoja na kutambua kazi yake ya kutukuka Rais Magufuli amemzawadia Mzee Ngoma shilingi milioni 100. Kushoto ni binti wa Mzee Ngoma, Asha Ngoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikabidhi gari la wagonjwa kwa ajili ya wakaazi wa Simanjiro wakati wa uzinduzi rasmi wa ukuta uliojengwa kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite eneo la Mirerani mkoani Manyara wakati wa sherehe za kuuzindua ukuta huo wenye uerefu wa kilomita 24.5 leo Aprili 6, 2018.

Askari wa usalama barabarani akiuelekeza njia msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akikagua ukuta uliojengwa kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite eneo la Mirerani mkoani Manyara kabla ya kuuzindua ukuta huo wenye uerefu wa kilomita 24.5 leo Aprili 6, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakimsikiliza Mzee Jumanne Ngoma, mvumbuzi wa madini ya Tanzanite, alipokuwa akimshukuru kwa kutambua kazi yake na hatimaye kumzawadia shilingi milioni 100 wakati wa uzinduzi rasmi wa ukuta uliojengwa kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite eneo la Mirerani mkoani Manyara wakati wa sherehe za kuuzindua ukuta huo wenye uerefu wa kilomita 24.5 leo Aprili 6, 2018. Kushoto ni binti wa Mzee Ngoma, Asha Ngoma.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakimsikiliza Mzee Jumanne Ngoma, mvumbuzi wa madini ya Tanzanite, alipokuwa akimshukuru kwa kutambua kazi yake na hatimaye kumzawadia shilingi milioni 100 wakati wa uzinduzi rasmi wa ukuta uliojengwa kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite eneo la Mirerani mkoani Manyara wakati wa sherehe za kuuzindua ukuta huo wenye uerefu wa kilomita 24.5 leo Aprili 6, 2018. Kushoto ni binti wa Mzee Ngoma, Asha Ngoma.
 Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya shukrani Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo baada ya jeshi hilo kukamilishi mbele ya wakati ujenzi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi kitambulisho cha Taifa mmoja wa wamiliki wa migodi ya Tanzanite hati ya shukrani Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Venance Mabe ili kuwawezesha kupata ruksa ya kuingia na kufanya kazi ndani ya eneo lililozungukwa na ukuta eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine wakipata maelezo ya madini ya Tanzanite yanavyochajkatwa wakati wa uzinduzi rasmi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na watendaji wa JWTZ na JKT waliosimamia kazi za ujenzi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha na mvumbuzi wa madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma wakati wa uzinduzi rasmi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Sehemu ilipofanyika sherehe za uzinguzi wa ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018. Picha na IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: