Mtaalam wa huduma na bidhaa wa mtandao wa tigo tanzania baraka hamza akiongea na waandishi wa habari mkoani morogoro wakati wa hafla ya kukabidhi simu aina za tekno r6 kwa washindi wa promosheni ya tigo nyakanyaka bonas, ambapo wateja 672 wa tigo wamejishindia simu hizo zenye uwezo wa 4g.
Mmoja wa washindi wa nyakanyaka bonus mwl justina Mathew jaka akikabidhiwa zawadi ya simu na meneja wa tigo kanda ya kati-pwani patricia sempinge katika hafla iliyofanyika katika ofisi ya tigo huduma kwa wateja mkoani morogoro. Wateja 672 wa tigo wamejishindia simu za tecno r6 zenye uwezo wa 4g.
Meneja Mauzo Tigo Mkoa Wa Morogoro Abbas Abdraman Akikabidhi Zawadi Ya Simu Ya Tecno R6 Kwa Samson Baada Ya Kuwa Mojawapo Ya Washindi 672 Katika Promosheni Ya Tigo Nyaka Nyaka Bonas.
Mojawapo Ya Washindi 672 Wa Droo Ya Nyakanyaka Bonas Farida Yussuph(Katikati) Akipokea Zawadi Ya Simu Aina Ya Tecno R6 Kutoka Kwa Meneja Wa Tigo Kanda Ya Kati-Pwani Patricia Sempinge(Kushoto) Wakati Wa Hafla Iliyofanyika Katika Ofisi Ya Tigo Huduma Kwa Wateja Mkoani Morogoro.
Mtaalam Wa Huduma Na Bidhaa Wa Mtandao Wa Tigo Tanzania Baraka Hamza (Kulia) Na Abbas Abdraman Meneja Mauzo Tigo Mkoa Wa Morogoro (Kushoto) Wakikabidhi Zawadi Ya Simu Tecno R6 Kwa Mojawapo Ya Washindi 672 Wa Promotion Ya Tigo Nyakanyaka Petrocia Makongera (Katikati) Katika Hafla Iliyofanyika Katika Ofisi Ya Tigo Huduma Kwa Wateja Mkoani Morogoro.
Meneja Wa Tigo Kanda Ya Kati-Pwani Patricia Sempinge Pamoja Na Mtaalam Wa Huduma Na Bidhaa Wa Mtandao Wa Tigo Tanzania Baraka Hamza (Kulia) Akikabidhi Zawadi Ya Simu Ya Tecno R6 Kwa Mojawapo Ya Washindi Wa Promosheni Ya Nyakanyaka Bonasi, Japhet Mbonea Mkoani Morogoro.
Mkazi Wa Morogoro Henry Msemwa Akipokea Zawadi Ya Simu Aina Ya Tekno R6 Kutoka Kwa Mtaalam Wa Huduma Na Bidhaa Wa Mtandao Wa Tigo Tanzania Baraka Hamza Mara Baada Ya Kuwa Moja Wa Washindi Wa Droo Ya Nyakanyaka Bonas
Baadhi ya washindi wa promotion ya nyakanyaka bonus wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa tigo katika hafla iliyofanyika katika ofisi ya tigo huduma kwa wateja mkoani morogoro. Wateja 672 wa tigo wamejishindia simu za tecno r6 zenye uwezo wa 4g.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: