Mmoja wa Wakazi wa Dar es Salaam ambaye alikuwa akivuna chupa za maji taka zilizojaa katika Daraja la Mto wa Msimbazi ambapo imeonesha kuwa uharibifu wa Mazingira na utupaji wa taka hovyo katika bonde la mto Msimbazi kumechangia kuziba kwa mifereji mingi inayopitisha maji kwenda baharini.
 Vijana wa jiji la Dar es Salaam wakiokota machupa katika bonde la mto Msimbazi mara baada ya machupa hayo kuletwa na maji ya mvua yaliyofurika kuja na takataka hizo
 Sehemu ya takataka zilizojaa katikati ya Barabara ya Morogoro amabazo zimeletwa na maji ya mvua yaliyotapishw akutoka mto Msimbazi.
 Mmoja wa wa kazi wa Jiji akiwa amejitika mzigo wake katika bonde la jangwani mara baada ya kuokot katika bonde la mto Msimbazi.
Bibi  wa makamo akiwa amejibanza  katika kituo cha mabasi ya yaendayo haraka mala baada ya makazi yake kusombwa na maji katika eneo la Jangwani.
 Muendesha baiskeli ya Magurudumu matatu  akijaribu kiunua baiskeli mara baada ya kuteleza katikati ya barabra ya Morogoro ambapo tope limetanda mara baada ya tope kutapika kwenye mwendokasi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: