Baadhi ya washabiki wakifuatilia finali za ligi ya vilabu barani Ulaya (Uefa Europa League)Liquid Bar iliyopo Kurasani. Atletico Madrid walifanikwa kuwafunga Marsaille 3- 0 na kuibuka na ushindi wa ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League inayodhaminiwa na kinywaji cha Amstel.

Mmliki wa Liquid Bar, Lilian Gumbo akiwa na rafiki zake wakifurahia final za igi ya vilabu barani Ulaya (Uefa Europa League).
Mashabiki wakifuatilia finali za ligi ya vilabu barani Ulaya (Uefa Europa League)Liquid Bar iliyopo Kurasani.
Warembo wa Amstel wakitayari kuhudumia Mashabiki wa Mpira Liquid Bar iliyopo Kurasani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: