Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro, Prof Lughano Kusiluka akiwasisitizia wanchuo kitivo cha sheria kuhakikisha wajituma kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi mara baada ya kuzinduliwa kwa kituo hicho chuoni hapo .
Mkuu wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Mohamed Utaly ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kituo cha msaada wa kisheria akikata utepe katika vitabu vinavyozungumuzia mambo ya sheria kuashiria uzinduzi wa kuanzishwa kwa kituo cha msaada wa kisheria chuo kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro. Pembeni aliyeshikilia vitabu ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka.
Mkuu wa wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro Mohamed Utaly akitoa rai kwa wanafunzi kitizo cha sheria kuhakikisha wanatoa msaada wa kisheria kwa wananchi bila malipo kwa kuzingatia kuwa swala walilolianzisha sio la kibiashara kwani hali za wananchi wanaolengwa ni duni.
Mkuu wa kitivo cha sheria chuo kikuu cha mzumbe Prof, syriacus Binamungu akimukabizi Makamu Mkuu wa chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro Prof, Lughano Kusiluka vitabu vinavyozungumuzia mambo ya sheria kwa ajili ya makamu mkuu wa chuo kukabizi kwa mgenia rasmi amabaye ni mkuu wa wilaya ya Mvomero Mohamed Utaly ili aweze kuzindua rasmi.
Mhadhiri msaidi chuo kikuu mzumbe Hassani Ramadhani Gyunda (aliyevaa shati nyeupe amenyoosha mkono kulia )akimuelezea mgeni rasmi Mohamed Utaly (kushoto) jinsi watakavyoweza kufanya kazi katika kutatua changamoto za kisheria ambazo zinawakabili wananchi aliyekaa chini upande wa mgeni rasmi ni mwananchi anayepatiwa msaada wa kisheria Rashidi Ramadhan mkazi wa sangasanga mkoani Morogoro.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: