Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, akizungumza na Wananchi wa kata ya Kilungule mara alipofanya ziara na Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi na Maliasili kujionea namna mradi wa urasimishaji makazi ulivyofanyika katika eneo hilo.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi Maliasili , Nape Nnauye akizungumza na Wakazi wa Kilungule wakati walipofanya ziara kukagua mradi wa urasimishaji Ardhi unaotekelezwa na Wizara ya Ardhi.
 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kilungule A, Emanuel Komba akizungumza jinsi mradi huo ulivyokuwa rafiki kwa wakazi wa eneo hilo.
 Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi Maliasili , Nape Nnauye katika eneo Kilungule A mahali ambapo watu wa eneo hilo wamerasimishwa makazi yao.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi Maliasili , Nape Nnauye akiwa na baadhi ya Wabunge ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu na Ardhi na Maliasili
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi Maliasili , Nape Nnauye akiwa na Waziri wa Ardhi William Lukuvi  pamoja na Wajumbe wa kamati hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: