Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkabidhi 'zana' Katibu Mkuu mpya wa CCM Dk. Bashiru Ally, katika makabidhiano ya ofisi yaliyofanyika leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ally akikiwa na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kufika meza kuu kwa ajili ya kuzungumza na watumishi wa Chama, katika Ofisi8 Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humprey Polepole akitoa maneno ya utangulizi
Baadhi ya watumishi wa CCM wakiwa ukumbini
Baadhi ya watumishi wa Chama wakiwa ukumbini.
Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally akizungumza na wafanyakazi wa Chama
Kinana akipongeza hotuba ya Dk Bashiru kwa wafanyakazi
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja na Makatibu wasaidizi
Picha ya pamoja na watum ishji wa Chama.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: