Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (kushoto) Dorothy Mwanyika akimpongeza Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Angeline Mabulla mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (kushoto) Dkt. Moses Kusiluka akimpongeza Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Angeline Mabulla mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19.
Watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakiwapongeza Waziri wa Ardhi na Naibu wake mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19.
Baadhi ya Makamishna wa Ardhi wa kanda 8 zilizopo nchi nzima kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 18/19.
Baadhi ya watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimpongeza Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Angeline Mabulla mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19. Picha zote na Hassan Mabuye, Wizara ya Ardhi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: