Mbunge Msaafu wa Bunge la Afrika Masharika Shyrose Bhaji mapema leo ameamua kutoa ya moyoni baada ya kuvutiwa na harusi ya Meghan Markle and Prince Harry delay iliyofanyika nchini Uingereza. 

Shyrose ameamua kuandika katika ukurasa wake wa instagram kuonyesha hisia zake za kutamani na yeye kuolewa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: