Mwanzilishi wa Taasisi ya Humanity  Action For Children Foundation, Rahma Mohamed Abdalah akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa kwa makundi ya watu wenye ulemavu kwa mkoa wa Dar es Salaam leo.
 Mwenyekiti wa Taasisi ya  Humanity  Action For Children Foundation,Rashid Mchujucko akizungumza mara baad aya kukabidhi Vifaa kwa makundi ya watu wenye ulemavu wa mkoa wa Dar es Salaam.

Mjumbe wa Bodi wa Taasisi ya  Humanity  Action For Children Foundation,Haji Janguo akikabidhi Magongo ya kutembelea kwa watu wenye ulemavu wa viungo  wa mkoa wa Dar es Salaam kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Sabrina Semsimba  huku wajumbe wengine wakishuhudia 
 Msanii wa filamu nchini, Faiza Alli akizungumza juu ya umuhimu wa kujitolea kwa watu wenye mahitaji maalum hili kuleta usawa katika jamii.
 Mwanzilishi wa Taasisi ya Humanity  Action For Children Foundation , Rahma Mohamed Abdalah  akimvesha Kofia Mmoja ya Watoto wenye Albinism waliopata msada wa kibaiskeli cha kutembelea.
 Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Wilaya ya Kinondoni, Sabrina Semsimba akishukuru mara baada ya kupokea Vifaa kwa ajili wenyeulemavu wa Viungo.
 Mmoja ya Walemavu wa Macho akitoa neno la shukrani kwa ajili ya Taasisi ya Humanity  Action For Children Foundation.
Baadhi ya Walemavu wa Macho wakifurahi mara baada ya kukabidhiwa Fimbo za kutembelea na Taasisi ya Humanity  Action For Children Foundation
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: