Baada ya timu ya MAJIMAJI kutoka mkoa wa Ruvuma kushuka rasmi ligi kuu ya Tanzania bara katika msimu 2017/2018 kocha msaidizi wa timu hiyo HABIBU KONDO amesema sababu ya iliyopelekea kushuka daraja ni pamoja na baadhi ya wachezaji kufukuzwa pamoja na malipo hewa waliyokuwa wanadai.MAJIMAJI inaungana na timu ya NJOMBE mjini katika msimu huu hawatakuwepo kwenye ligi kuu TANZANIA BARA.

HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: