Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata ambaye alikwenda kwenye Makazi ya Waziri Mkuu Oysterbay jijini Dar es salaam kuaga, Mei 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata ambaye alikwenda kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam kuaga, Mei 23, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata baada ya mazungumzo yao kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Mei 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: