Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani mkoa wa RUVUMA kimejipanga kikamilifu katika kuhakikisha madereva wanaoendesha vyombo vya moto vyenye miguu miwili maarufu kama bodaboda wanafuata sheria,ikiwemo kuwa na leseni pamoja na kuvaa kofia ngumu pamoja na abiriwa wake.

Hayo yamebainishwa na maratibu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa RUVUMA SALUMU MORIMORI wakati akitoa elimu kwa baadhi ya madereva bodaboda mjini SONGEA.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: