Mhasibu mwezeshaji Melkzedeck Kimaro kutoka OR TAMISEMI akiendelea kutoa ufafanuzi wa mafunzo ya Epicor 10.2 jijini Mwanza.
Redempta Joseph- Mhasibu wa Halmashauri ya Mji wa Nzega na Hillary Maganga, Mhasibu wa Halamshauri ya Sikonge wakiwa katika mafunzo ya mfumo wa Epicor 10.2 jijini Mwanza.
Bw. Zablon Nshokigwa, Mweka Hazina kutoka Halmashuri ya Urambo mkoani Tabora, akiwa anapitia muongozo wa mfumo wa Epicor 10.2
Wataalam kutoka PS3, kama walivyokutwa na Kamera yetu wakati wa mafunzo ya Epicor 10.2 yanayoendelea mkoani Mwanza kutoka kushoto ni Gladys Mkuchu, Giovanni Di Piazza na Joyce Mfinanga.
Wawezeshaji Emelda Malima na Stanslaus Msenga kutoka OR TAMISEMI, wakijadiliana wakati wa mafunzo ya Epicor 10.2 jijini Mwanza.

J. Shani Mangesho na Hamisi Mjanja wakati wa mafunzo ya Epicor 10.2 mkoani Mwanza.
Washiki wa mafunzo ya Epicor 10.2 yanayo jumuisha Halmashauri za Mikoa ya Tabora na Geita jijini Mwanza.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: