(1) Anaebadili jina mtandaoni na kujiita majina ya watu maarufu...Huyo NIMJINGA.

(2) Anaetoa mimba kisha analala na midoli huyo NIMJINGA

(3) Anaedate na mume wa mtu miaka nenda rudi na kuwakataa wanaotaka kumuoa huyo nae NIMJINGA.

(4) Anaeweka kucha bandia,kope bandia ..alafu akiambiwa umependeza anasema asante...huyo nae NIMJINGA

(5) Anaebeba minguo ya bwana wake na kwenda kuifua hali ya kuwa anajua huyo bwana ni mume wa mtu...huyo ni NIMJINGA.

(6) Anaemkataa mwanaume anaetaka kumuoa kwa ajili ya bishoo wa kwenda nae club kila siku... huyo nae NIMJINGA.

(7) Anaetoroka kwao na kwenda kulala gest na bwana na asubuhi anaambiwa hapa sina hela iliyobaki naenda kumpa Mke wangu na akakubali...huyo nae NIMJINGA.

(8) Mwanamke ambae hamiliki hata kitanda kisha anataka mwanaume mwenye gari huyo nae NIMJINGA

(9) Anasema anaficha sehemu zake za siri wakati ameshalala na wanaume zaidi ya 10 huyo nae NIMJINGA.

(10) Anaeenda kwenye nyumba ya ibada huku amevaa sketi fupi alafu njia nzima anaishusha ili magoti yasionekane huyo nae NIMJINGA..

(11) Anayetembea na waume za watu alafu anaomba Mungu ampe mume wake huyo nae NIMJINGA..

(12) Anayekaa vibarazani akisengenya watu nae akisemwa analia huyo nae NIMJINGA

(13) Anayesubiri kuombewa badala ajiombee mwenyewe kwanza huyo nae NIMJINGA

(14) Anayezaa watoto na kuwaachia bibi na babu awalelee huyo nae NIMJINGA

(15) Anayekuwa mbabe kwa mumewe badala ya kuwa mnyenyekevu huyo nae NIMJINGA

(16) Anayekaa tu nakusubiri kuletewa kila kitu na kushindwa kuwa msaidizi na mjeshi,na mjenzi kweli huyo nae NIMJINGA.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: