Wakiwa na nyuso za furaha ni Bwana harusi Albert Burchard Mujuni na Bibi harusi Shawli Ahsan Tora mara baadaya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki iliyopita na  kufuatia sherehe ya kukata na shoka iliyofanyika Ukumbi wa Hekima Garden, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kajunason Blog inawapongeza kwa hatua kubwa mliofikia.
Bwana harusi Albert Burchard Mujuni na Bibi harusi Shawli Ahsan Tora wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki iliyopita na  kufuatia sherehe ya kukata na shoka iliyofanyika Ukumbi wa Hekima Garden, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Pembeni ni dada wa Bwana Harusi Catherine Burchard (kushoto) na Betrice Burchard (kulia).
Bibi harusi Shawli Ahsan Tora akimtambulisha mumewe Albert Burchard Mujuni wakati wa sherehe ya kuwapongeza.

Furaha kwa wapendanao.
Dada wa Bwana Harusi, Catherine Burchard.
Dada wa Bwana Harusi, Beatrice Burchard.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: