Wakazi wa Mbalizi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliposimama na kuwasalimia wakati akiwasili mkoani Mbeya tayari kwa ziara ya kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani humo ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mbele ya Wakazi wa mji wa Mbalizi (hawapo pichani) waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili mkoani Mbeya tayari kwa ziara ya kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Mbeya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wakazi wa Mbalizi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili mkoani Mbeya tayari kwa ziara ya kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Mbeya. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: