Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mabalozi wa nchi mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018.
Balozi wa Rwanda nchini na Kiongozi wa Mabalozi Mhe. Eugene Segore Kayihura akimshukuru Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa niaba ya mabalozi na wawkilishi wa mashirika ya kimataifa kwa kupatiwa bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Augustine Mahiga akimkaribisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuongea na mabalozi na wawkilishi wa mashirika ya kimataifa baada ya kuwapatia bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania Mhe. Thamsangqa Dennis Mseleku hati hati ya kiwanja cha kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke hati ya kiwanja cha kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Alvaro Rodriguez hati ya kiwanja cha kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Wang Ke hati ya kiwanja cha kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa Kenya nchini Mhe. Dan Kazungu hati ya kiwanja cha kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Balozi wa Kenya nchini Mhe. Dan Kazungu akielekea kuketi baada ya kupatiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli hati ya kiwanja cha kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018.
Mabalozi wa nchi mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kupatiwa bila malipo na Rais Dkt John Magufuli hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mabalozi wa nchi mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa nchi mbalimbali baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wadogo wa nchi mbalimbali baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wawakilishi wa Mashirika Mbalimbali ya Kimataifa baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na vingozi wa mkoa wa Dodoma baada ya kuwakabidhi mabalozi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wna habari wa kutoka vyombo mbalimbali baada ya kuwakabidhi mabalozi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018. Picha na Ikulu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: