Namshukuru Mwenyeezi Mungu.

Namshukuru Mhe. Rais Dkt. John Magufuli kwa kuendelea kuniamini tena na kuniteua kuwa RC wa Iringa. Sitakuangusha kamwe Mhe. Rais.

Asanteni wana Kinondoni kwa upendo na ushirikiano mlionipa katika wakati wangu nikiwa DC wenu.

Kwa wana Iringa, jana usiku nimeanza kupitia taarifa mbalimbali juu ya Mkoa wetu, fursa na changamoto zake,na kuanza kutafakari mikakati na mchakamchaka wa kusonga mbele na kutatua Shida za watu.Naomba ushirikiano wenu.Kazi imeanza.

Tukutane field.

Ally S. Hapi
RC mteule IRINGA.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: