Mchezaji wa timu ya Voda Warriors Kelvin Nyanda akifunga moja ya goli wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Stanbic Bank uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Voda Warriors ilishinda kwa vikapu 34-31.
Dawn Mturi wa timu ya Voda Warriors akiwatoka wachezaji wa timu ya Stanbic Bank wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, VodaWarriors walishinda kwa Vikapu 34-31.
Wachezaji wa timu ya Stanbic Bank wakijaribu kuokoa hatari langoni mwao wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Voda Warriors uliofanyika Gymkhana jijini Dar es Salaam, Voda Warriors waliibuka washindi kwa vikapu 34-31.
 Dawn Mturi wa timu ya Voda Warriors akimkaba mchezaji wa timu ya Stanbic Bank wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, VodaWarriors walishinda kwa Vikapu 34-31.
Wachezaji wa Timu za mpira wa kikapu za VodaWarriors na Stanbic Bank wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki uliofanyika mwishoni mwa wiki, VODA WARRIORS waliinyuka Stanbic bank kwa vikapu 34-31
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: