Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Longido, Mhe. Chongolo Daniel Godfrey ambaye kwa sasa amechaguliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam akiagana na rafiki yake Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini Mhe. Gabriel Fabian Daqarro nje ya jengo la ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha jana baada ya kushiriki hafla ya kuapishwa kwa Mkuu wa Wilaya mpya wa Wilaya ya Longido Mhe. Frank na mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro. 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: