Ni albam iliyotoka tangu mwaka Jana na kupata mafanikio mengi zikiwemo tuzo kadhaa..Anaitwa SIMI @simplysimi... mwanadada mwenye sauti ya kipekee mzaliwa wa LAGOS... leo anaripotiwa kuvunja rekodi ya albam yake ya kwanza "SIMISOLA" kusikilizwa zaidi ya mara milioni moja kwenye mtandao wa BOOM PLAY... ambapo ki'level zetu AFRICA hii sio kitu cha mchezo..SIMI @simplysimi anasema sio kitu alichotegemea na anaitaja "GONE FOR GOOD" kama ngoma ambayo ilimpa changamoto kubwa zaidi wakati wa maandalizi ya albam hii.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: