Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Brigita Stephen (katikati) akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Samsung kanda ya Africa Sung Yoon (kushoto) aliyeambatana na mwanaye Jason Yoon baada ya kuwakabidhi Moderm zitakazotumika kwa ajili ya mawasiliano wawapo mlimani, zoezi hili hufanyika kila mwaka kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusaidia watoto wa kike ijulikanayo kama Trek4Mandela.
Mkuu wa Vodacom kanda ya Kaskazini, Brigita Stephen akikabidhi Moderm kwa mmoja wa washiriki wa changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro ijulikanayo kama Trek4Mandela,wakati washiriki hao wakiagwa kabla ya kuanza kwa zoezi la kupanda Mlima, Vodacom imekabidhi Moderm sita kwa kundi hilo ili kurahisisha mawasiliano wakati wa kupanda mlima huo mrefu kuliko yote barani Afrika.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: